Uncategorized

Ambe Lulu Awatolea Povu Wanaomsema Prezzo “Usimfananishe Mume Wangu (Prezzo) na Young Dee”

By  | 

Ambe Lulu  Awatolea Povu Wanaomsema Prezzo "Usimfananishe Mume Wangu (Prezzo) na Young Dee"

Msanii wa muziki Bongo, Amber Lulu amedai mpenzi wake Prezzo asifananishwe na Young Dee.
Amber Lulu amesema hao ni watu wawili tofauti hivyo kuwafaninisha ni kumkosea heshima Prezzo.
“Usimfananishe mume wangu na watu wengine kwa sababu unakuwa unamkosea adabu, kwa hiyo Young Dee ni Prezzo usiwakee kabisa pamoja kwa sababu ni watu wawili ambao hawezi kuendana hata kidogo,”  Pia Amber Lulu ameongeza kuwa mara baada ya kuachana na Young Dee hata tattoo yake aliyokuwa ameichora mkononi aliifuta kwani aliiweka kwa muda tu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *