Uncategorized

Rado Afunguka Atakavyowakutanisha Wasanii Zaidi ya 3,000 Katika Movie Moja

By  | 

Rado Afunguka Atakavyowakutanisha Wasanii Zaidi ya 3,000 Katika Movie Moja

Msanii wa filamu Bongo, Rado amesema ana mpango wa kukutanisha wasanii/watu zaidi 3,000 katika movie moja.
Muigizaji huyo amesema hayo katika mahojiano na kipindi cha Uhondo cha E Fm ambapo ameeleza hiyo itakuwa pia ni kama kutoa fursa ya ajira kwa wale watakaoshiriki.
“kuna filamu nataka kuifanya mwezi wa tatu nafikiria kucheza na wasaniii zaidi ya  elfu tatu na hiyo itakuwa ni sehem ya ajira kwa watu hao” amesema Rado.
Hivi karibuni Rado alitoa filamu inayokenda kwa jina Bei kali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *